View this book in English What is a Good Teacher?
Mwalimu Mzuri Ana Sifa Zipi?
Kimeandikwa na
Mchoraji Marco Tibasima
Mchapishaji Twaweza, Raising Voices
sw
Kurasa 31
Pakua 0.8 MB
Namna ya kutumia kijitabu hiki: - Orodhesha sifa za mwalimu bora - Mwambie rafiki yako au mwalimu mwenzio andae orodha kama hiyo na kisha ifananishe na ya kwako. - Soma kijitabu hiki pamoja na walimu wengine au wanafunzi shuleni. Kisha jadili jinsi mwalimu bora anapaswa kuwa namna gani. Waalimu: someni sehemu moja wa kijitabu hiki kila wiki wakati wa mkutano waalimu kisha jadilini jinsi ya kutekeleza mapendekezo haya. - Jadilini changamoto zinazoweza kutokea katika kufanikisha malengo haya. Kisha andaeni mbinu zinazoweza kusaidia kutatua hizo changamoto. - Wanafunzi: someni sehemu moja ya kijitabu hiki kila wiki pamoja na rafiki zenu. Kisha jaribuni kubainisha walimu wazuri katika shule yenu.
...
Shukrani kwa Twaweza, Raising Voices
Create an account to...
View comments and discuss this book!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.