Wimbo wa Bata Bukini
na hadithi nyingine za wanyama zenye adili
Published Year: 1992

Language: sw
Details: link: https://mkukinanyota.com/product/wimbo-wa-bata-bukini/
Summary: Kitabu hiki kina mkusanyiko wa hadithi za wanyama zenye kutoa mafundisho yenye adili. Ni kitabu kitakachowafaa watu wa rika zote, kuanzia vijana mpaka wazee. Ama kwa hakika kila atayeogelea kwenye hadithi ataburudika, atafarijika, atakosoleka na kadha wa kadha. Soma.