Sign up for news and free books by email!
Jongoo na Tandu
Written by Elieshi Lema
sw
Simulizi za Buibui ni mfululizo wa vitabu vya maarifa kwa watoto wa ngazi za chini. Mfululizo huu unahusu viumbe wadogo katika Maisha ya kila siku ya mtoto. Viumbe hawa wanaishi katika mazingira ya nyumbani yanayomzunguka mtoto. Madhumuni yake ni kujenga tabia za kisayansi kwa watoto tangu mapema. Vitabu vinalenga kuamsha na kuchochea udadisi. Pia, vinalenga tabia na ari ya uchunguzi katika mazingira.
...
link: https://vitabu.edvisionpublishing.co.tz/product/jongoo-na-tandu/ Children Swahili Titles
...
ISBN: 9789987735518
1 copy
Available for free in Arusha! Request
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.