Nyamanza Ndege wa Amani
Written by
Publisher E & D Vision
Published 1999
sw
Pages 16
Shile alivutiwa sana na jamii ya wanyama wa mwituni.Alipenda kuwasikiliza wakiongea na kucheka na kusimuliana hadithi.Kwani Shile alikuwa mtoto wa ajabu.Aliweza kuzungumza na wanyama na ndege.Aliweza kusikia sauti ndogo sana za vipepeo na sisimizi na hata majani madogo yanaporefuka ;Wanyama wakubwa walimpenda na wanyama wadogo pia.Hata Nyamaza,ndege wa Amani alimpenda Shile.Nyamaza aliwafurahisha viumbe wote mbugani kwa sauti ya nyimbo zake tamu.
...
Translated by
Elieshi Lema
ISBN: 0521668921
Thank you to E & D Vision
1 copy
Available for free in Arusha! Request
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.