Nyamanza Ndege wa Amani
Published Year: 1999

Language: sw
Details: illustrator: Terry Milne ink: https://vitabu.edvisionpublishing.co.tz/product/nyamanza-ndege-wa-angani/ illustrations: Categories: ["Juvenile Nonfiction / Language Arts / General", "Juvenile Nonfiction / Foreign Language Study / General"] The Terrible Graakwa Kiswahili version Cambridge University Press This book is available separately or as part of the Little Library Maths Kit. The colourfully illustrated, indigenous story teaches mathematical logic and literacy to children aged 5 to 9. As one of the ten award-winning South African stories in the Little Library Maths Kit, The Terrible Graakwa explores maths concepts such as distance and proportion through the medium of a story. The full-colour illustrations and exciting, original narrative make each reading entertaining as well as educational.
Summary: Shile alivutiwa sana na jamii ya wanyama wa mwituni.Alipenda kuwasikiliza wakiongea na kucheka na kusimuliana hadithi.Kwani Shile alikuwa mtoto wa ajabu.Aliweza kuzungumza na wanyama na ndege.Aliweza kusikia sauti ndogo sana za vipepeo na sisimizi na hata majani madogo yanaporefuka ;Wanyama wakubwa walimpenda na wanyama wadogo pia.Hata Nyamaza,ndege wa Amani alimpenda Shile.Nyamaza aliwafurahisha viumbe wote mbugani kwa sauti ya nyimbo zake tamu.