You are now browsing in Swahili. Switch to English
In Swahili: "Sasa unavinjari kwa Kiswahili. Rudi kwa Kiingereza"
Lazime uingie akaunti ili kubadilisha wasifu wako au kuona wasifu wa wengine

Umeshafungua akaunti? Ingia

Ingia
Umesahau nenosiri lako?
Sijapata barua pepe ya kuthibitisha

Fungua akaunti mpya

View this book in English Casebook on Benefit and Harm
Kitabu cha Visa vya Manufaa na Madhara
Mwandamano wa vitabu vya visa kwa Mtaala Msingi wa Maadili ya Utabuibu , namba 2
Mchapishaji UNESCO
Mwaka 2011
sw
Kurasa 145
Pakua 2.5 MB
Kitabu cha visa vya kimaadili kwa watoa huduma ya afya: Kitabu hiki cha randama kina uchunguzi wa visa 33. Kila kisa kinashughulikiwa kwa kuzingatia upeo wa juu wa kisheria na kinatoa maelezo ya aina za matatizo ya kimaadili yaliyohusishwa. Kila kisa huambatana na mwongozo unaowawezesha wanafunzi ambao kwa nafasi zao, wakisimamiwa na wahadhiri wao, wanalichunguza kisha, kujadili mapendekezo ya utatuzi na kukataa mapendekeo wanayodhani hayafai kabla hawajafikia uamuzi wao wenyewe. Lengo la mkakati huu ni kutoa chombo na jukwaa litakalowafanya wanafunzi washiriki kwa ari katika mchakato wa kutoa maamuzi Ibara ya 4 ya Azimio la Kimataifa kuhusu Maadili ya utabibu na Haki za Kibinadamu (2005) kuhusu ‘Manufaa na Madhara’ inasisitiza kuwa matumizi ya maarifa ya kisayansi, matibabu na teknolojia zinazohusiana na hayo, manufaa ya moja kwa moja na namna nyinginezo, kwa wagonjwa washiriki wa utafiti na wengineo zinapaswa kuongezwa na uwezekano wa watu hawa kupata madhara unapaswa kupunguzwa. Katika utoaji wa huduma za afya kuna umuhimu mkubwa wa kutathmini manufaa na madhara. Chaguzi za matibabu zinatakiwa kufanywa miongoni mwa wagonjwa: tathmini lazima ifanyike baina ya hatari kwenye madhara na manufaa yawezayo kupatikana kutokana na matumizi ya matibabu hayo. Hili lina umuhimu kufanyika hasa pale muda na rasilimali ghafi zinapokuwa chache kwa mgawanyo wa rasilimali zilizopo. Kufuata wajibu kama inavyotakiwa kwenye Ibara ya 4 kunahitaji mjumuiko wa maamuzi ya busara na ustadi wa kiufundi.
...
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all