You need to login to view profiles OR to update your profile

Have an account? Login

Log in
Forgot your password?
Didn't receive your confirmation email?

Create a new account

Marimba ya Majaliwa
Publisher E & D Vision Pub.
Published 1996
sw
Pages 112
Je, umeshawahi kusafiri kwa kutumia ungo au fagio?Umeshapanda mgongoni mwa nguva au kutalii kwenye tumbo la nyangumi? Hivi ni baadhi ya visa alivyofanya Majaliwa akiwa katika safari yake kuzunguka Tanzania nzima akisaka marimba yake ya nyuzi ishirini. Alianzia Mafia,akaenda Zanzibar,Tanga,Moshi, Arusha,Iringa,Mwanza,Kigoma na miji mingine mingi. Na Kongoti,bingwa wa taifa wa Marimba akimchenga kila mara,huku akingangania marimba ya Majaliwa ili amzuie kushinda na ashinde yeye. Na bila marimba ya nyuzi ishirini,hakuna ushindi.Je,Majaliwa atamkamata Kongoti?Ungana na Majaliwa katika safari hii ya kusisimua,ukutane na Bibi yake anayeweza kuwa katika umbo lolote,jinsi anavyochenga n kuvisumbua vibwengo huko angani usiku wa manane wakiwa na Majaliwa na safari hii ya kusaka marimba yake. A novel.
...
link: https://vitabu.edvisionpublishing.co.tz/product/marimba-ya-majaliwa/
...
ISBN: 9987411487
Thank you to E & D Vision Pub.
1 copy
Available for free in Arusha! Request
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all