Jiandikishe upate habari na vitabu bure!
Mwongozo wa Mfumo wa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo Ulioboreshwa katika Lugha Rahisi
Mchapishaji Policy Forum Tanzania
Mwaka 2020
sw
Kurasa 54
Pakua 2.7 MB
Watanzania wamekuwa na desturi ya kushirikiana na kufanya kazi kwa pamoja ili kuboresha maisha yao. Desturi hii ilikuwepo na ilisimamiwa kwa kiasi kikubwa na Baba wa Taifa Mwalimu Julius K. Nyerere. Kitabu hiki kinaeleza jinsi ya kushirikiana katika Mipango Shirikishi Jamii wa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (Opportinities and Obstacles to Development). Aidha Mfumo huo ulisisitiza umuhimu wa kuhakikisha kwamba mipango ya maendeleo inahusisha mahitaji halisi ya jamii katika ngazi za msingi (Kata, Vijiji, Mitaa). Mfumo wa O&OD ulioboreshwa unasisitiza umuhimu wa kuijengea uwezo jamii ili iweze kuanzisha na kutekeleza miradi yao wenyewe.
...
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.