You need to login to view profiles OR to update your profile

Have an account? Login

Log in
Forgot your password?
Didn't receive your confirmation email?

Create a new account

Sign up for news and free books by email!
Mwongozo Wa Taifa Wa Dawati La Ulinzi Na Usalama Wa Mtoto Ndani Na Nje Ya Shule
Publisher Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum
Published 2022
sw
Pages 33
Download
2.0 MB
Mwongozo huo una lengo la kuimarisha malezi, ulinzi na unasihi kwa ajili ya watoto katika shule za msingi na sekondari na kuhakikisha kwamba Mtoto anapata elimu na ujuzi katika mazingira salama na rafiki bila aina yoyote ya ukatili. Katika kumshirikisha Mtoto kwenye ulinzi na usalama wake, Wizara imeandaa Mwongozo wa Uanzishaji na Uendeshaji wa Dawati la Ulinzi na Usalama wa Mtoto Ndani na Nje ya Shule ili kuwezesha watoto kushiriki katika kutoa taarifa za dalili zozote za ukatili na kumsaidia Mtoto aliyefanyiwa ukatili ili kupata huduma stahiki. Mwongozo wa Taifa wa Dawati la Ulinzi na Usalama wa Mtoto Shuleni na kwenye Jamii umeandaliwa kwa ajili ya kutoa maelekezo kwa watendaji wa Serikali na Wadau wengine wa ulinzi wa Watoto katika kuanzisha na kuimarisha usalama wa Watoto nchini. Katika kuhakikisha ufanisi wa utekelezaji wa Mwongozo huu, Wizara inahimiza Wadau wote wa masuala ya ulinzi na usalama wa Watoto katika ngazi mbalimbali kuutumia Mwongozo huu katika uundaji na uendeshaji wa Dawati la Ulinzi na Usalama wa Watoto Ndani na Nje ya Shule ili kuwa na sura na muundo unaofanana wa Madawati hayo katika Halmashauri na Mikoa yote nchini.
...
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all