Sauti za Vijana: Maoni ya vijana kuhusu elimu jumuishi
Faster downloadPublished Year: 2008

Language: sw
Details: This book accompanies a short film available online.
Summary: Kitabu hiki chenye picha, michoro na maoni ya vijana kinaonyesha juhudi za kufanya elimu jumuishi kupatikana kwa uhakika. Mambo yaliyozungumzwa na vijana yanajumuisha sera, mitazamo, tabia hadi ugawaji wa rasilimali na mazingira. Kitabu hiki kimenipa hamasa na changamoto ya kuwajibika pamoja kwa vitendo na watunga sera wa elimu, mameneja, viongozi, walimu, wazazi, wahudumu na wanafunzi katika kubadili mitizamo ya mahitaji ya kielimu kwa watoto wenye ulemavu na wasio na ulemavu.