View this book in English The Economics of Climate Change in Zanzibar
Athari za Mabadiliko ya Tabianchi kwa Uchumi wa Zanzibar
Muhtasari wa Ripoti ya Mwisho
Mchapishaji Global Climate Adaptation Partnership
Mwaka 2012
sw
Kurasa 49
Pakua 1.3 MB
Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa kufanya uchunguzi mkubwa shirikishi na wenye muelekeo wa kijamii juu ya mabadiliko ya tabianchi Zanzibar ili kuweza kushughulikia mbinu ya utekelezaji inayofaa katika kukabiliana na mabidiliko ya tabianchi na kupunguza makali yake. Kufuatia hatua hii, utafiti huu umefanya tathmini ya masualayafuatayo: 1. Tabianchi na gharama zilizopo za tafauti ya tabianchi; 2. Athari na gharama za kiuchumi za mabadiliko tabianchi za baadae; 3. Gharama na faida za kukabiliana na hali hiyo, na 4. Fursa ya kupunguza ongezeko la hewa mkaa. Kaulimbiu muhimu ni kuhakikisha kuwa kunakuwepo maingiliano makubwa na utayarishaji shirikishi baina ya timu za utafiti na wadau muhimu wa Serikali lakini wakati huu huo inawahusisha wadau wengi zaidi.
...
Shukrani kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, State University of Zanzibar, Global Climate Adaptation Partnership
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.