View this book in English The Economics of Climate Change in Zanzibar
Athari za Mabadiliko ya Tabianchi kwa Uchumi wa Zanzibar
Muhtasari wa Ripoti ya Mwisho
Publisher Global Climate Adaptation Partnership
Published 2012
sw
Pages 49
Download 1.3 MB
Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa kufanya uchunguzi mkubwa shirikishi na wenye muelekeo wa kijamii juu ya mabadiliko ya tabianchi Zanzibar ili kuweza kushughulikia mbinu ya utekelezaji inayofaa katika kukabiliana na mabidiliko ya tabianchi na kupunguza makali yake. Kufuatia hatua hii, utafiti huu umefanya tathmini ya masualayafuatayo: 1. Tabianchi na gharama zilizopo za tafauti ya tabianchi; 2. Athari na gharama za kiuchumi za mabadiliko tabianchi za baadae; 3. Gharama na faida za kukabiliana na hali hiyo, na 4. Fursa ya kupunguza ongezeko la hewa mkaa. Kaulimbiu muhimu ni kuhakikisha kuwa kunakuwepo maingiliano makubwa na utayarishaji shirikishi baina ya timu za utafiti na wadau muhimu wa Serikali lakini wakati huu huo inawahusisha wadau wengi zaidi.
...
Thank you to Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, State University of Zanzibar, Global Climate Adaptation Partnership
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.