View this book in English Research into Language-based Equity in African Health Science Research
Jiandikishe upate habari na vitabu bure!
Utafiti wa Uwiano katika Lugha kwenye Tafiti za Sayansi ya Afya Barani Afrika
Mwaka 2021
sw
Kurasa 33
Pakua 2.5 MB
Tafiti hii ina malengo mahususi matatu: 1. Kuchunguza ikiwa matumizi ya kiingereza katika mazingira ya Afrika ni kikwazo katika ukuaji na kufanikiwa kwa watafiti wa sayansi ya Afya katika ngazi za binafsi, kitaifa na kimataifa, na katika ukuaji wa sayansi ya Afya katika eneo zima la Afrika. 2. Kuchunguza ikiwa matumizi ya kiingereza katika mazingira ya Afrika, yanachangia katika kuletea uwiano usio sawa katika mfumo wa tafiti za sayansi ya afya. 3. Kutoa maoni ya mbinu thabiti za kukabiliana na changamoto zilizoainishwa. Katika kukamilisha utafiti huu mbinu tofauti zilitumika katika kukusanya taarifa. Kama vile mbinu ya mkabara wa kiubora (qualitative) na mbinu ya mkabara wa kiidadi (Quantitative) katika ukusanyaji wa taarifa.
...
Kimetafsiriwa na
Ali Hassani Selemani
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.