You are now browsing in Swahili. Switch to English
In Swahili: "Sasa unavinjari kwa Kiswahili. Rudi kwa Kiingereza"
Lazime uingie akaunti ili kubadilisha wasifu wako au kuona wasifu wa wengine

Umeshafungua akaunti? Ingia

Ingia
Umesahau nenosiri lako?
Sijapata barua pepe ya kuthibitisha

Fungua akaunti mpya

Jiandikishe upate habari na vitabu bure!
Masomo Mepesi
Kimeandikwa na Mary A.H. Allen
Mchapishaji Universities' Mission Press
Mwaka 1894
sw
Kurasa 46
Pakua 5.8 MB
Inaruhusiwa kunakili, kusambaza na kutafsiri bila malipo.
Mfundisha mtu wa umri wowote jinsi ya kusoma na kufahamu kile anachokisoma. Kitabu hiki kifupi kinatumika na mwanafunzi, mwalimu au mzazi. Kinatumika pia darasani kama mazoezi ya kusoma.
...
ONYO: utaona baadhi ya makosa ya lugha na herufi kutokana na umri wa kitabu. Kitabu hiki kilichapishwa kwa mara ya kwanza mwaka wa 1880. Hili ni toleo la pili lililochapishwa mwaka wa 1894. Nakala hii ilitunzwa Marekani katika maktaba ya Harvard University, kwa miaka mingi. Sasa imescaniwa na kuwekwa mtandaoni kwa ajili yenu. Kitabu hiki kiliandikiwa na Mary Allen amabaye alikuwa mzungu mtaalamu wa lugha za Kiarabu na Kiswahili na mishanari wa kikristo. Aliandika vitabu vya Kiswahili kwa herufi za Kiarabu na za Kizungu, maana wakati huo Waunguja walitumia zote.
...
Shukrani kwa Archive.org
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all