ONYO: utaona baadhi ya makosa ya lugha na herufi kutokana na umri wa kitabu. Kitabu hiki kilichapishwa kwa mara ya kwanza mwaka wa 1880. Hili ni toleo la pili lililochapishwa mwaka wa 1894. Nakala hii ilitunzwa Marekani katika maktaba ya Harvard University, kwa miaka mingi. Sasa imescaniwa na kuwekwa mtandaoni kwa ajili yenu.
Kitabu hiki kiliandikiwa na Mary Allen amabaye alikuwa mzungu mtaalamu wa lugha za Kiarabu na Kiswahili na mishanari wa kikristo. Aliandika vitabu vya Kiswahili kwa herufi za Kiarabu na za Kizungu, maana wakati huo Waunguja walitumia zote.
...
Thank you to Archive.org
Download free pdfs
Free books by category
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books:
Browse all
No Books Found
Based on the filters you selected, there are currently no books.