Masomo Mepesi

Faster download
Download
5.8 MB
This book is public domain or creative commons

Published Year: 1894

Book Thumbnail

Language: sw

Details: ONYO: utaona baadhi ya makosa ya lugha na herufi kutokana na umri wa kitabu. Kitabu hiki kilichapishwa kwa mara ya kwanza mwaka wa 1880. Hili ni toleo la pili lililochapishwa mwaka wa 1894. Nakala hii ilitunzwa Marekani katika maktaba ya Harvard University, kwa miaka mingi. Sasa imescaniwa na kuwekwa mtandaoni kwa ajili yenu. Kitabu hiki kiliandikiwa na Mary Allen amabaye alikuwa mzungu mtaalamu wa lugha za Kiarabu na Kiswahili na mishanari wa kikristo. Aliandika vitabu vya Kiswahili kwa herufi za Kiarabu na za Kizungu, maana wakati huo Waunguja walitumia zote.

Summary: Mfundisha mtu wa umri wowote jinsi ya kusoma na kufahamu kile anachokisoma. Kitabu hiki kifupi kinatumika na mwanafunzi, mwalimu au mzazi. Kinatumika pia darasani kama mazoezi ya kusoma.