Ngedere na Ndizi

Baby Monkey's Bananas Kiswahili version

Published Year: 1999

Book Thumbnail

Language: sw

Details: Categories: ["Juvenile Nonfiction / Language Arts / General", "Juvenile Nonfiction / Foreign Language Study / General"] link: https://vitabu.edvisionpublishing.co.tz/product/ngedere-na-ndizi/

Summary: Ngedere Mdogo alipenda sana ndizi mbivu.Kaka na dada zake walipopata ndizi,Ngedere Mdogo alijaribu kuwapokonya.Halafu alizibugia zote.”Mwanangu acha ulafi!” Mama Ngedere alimkaripia. Soma hadithi hii mpaka mwisho.