Ngedere na Ndizi
Baby Monkey's Bananas Kiswahili version
Written by Harald Mhando
Publisher E & D Limited
Published 1999
sw
Pages 16
Ngedere Mdogo alipenda sana ndizi mbivu.Kaka na dada zake walipopata ndizi,Ngedere Mdogo alijaribu kuwapokonya.Halafu alizibugia zote.”Mwanangu acha ulafi!” Mama Ngedere alimkaripia. Soma hadithi hii mpaka mwisho.
...
ISBN: 0521668891
Thank you to E & D Limited
1 copy
Available for free in Arusha! Request
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.