View this book in English Universal Declaration of Human Rights
Taarifa ya Ulimwengu juu ya Haki za Binadamu
Kimeandikwa na Umoja wa Mataifa
Mchapishaji Ofisi ya Idara ya Habari ya Umoja wa Mataifa
Mwaka 1948
sw
Kurasa 9
Pakua 0.2 MB
Jifunze zaidi Katika Disemba 10, 1948, Baraza kuu la Umoja wa Mataifa lilikubali na kutangaza Taarifa ya Ulimwengu juu ya Haki za Binadamu. Maelezo kamili ya Taarifa hiyo yamepigwa chapa katika kurasa zifuatazo. Baada ya kutangaza taarifa hii ya maana Baraza Kuu lilizisihi nchi zote zilizo Wanachama wa Umoja wa Mataifa zitangaze na "zifanye ienezwe ionyeshwe, isomwe na ielezwe mashuleni na katika vyuo vinginevyo bila kujali siasa ya nchi yo yote."
...
Inajulikana pia kama: Tangazo la kilimwengu la haki za binadamu au Azimio la Kimataifa juu ya Haki za Binadamu, Universal Declaration of Human Rights Ona toleo linalolinganisha Kiingereza na Kiswahili
...
Shukrani kwa United Nations Office of the High Commissioner
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.