Msingi wa Imani
Written by Carl F. Wisloff
Publisher Scripture Mission, Nairobi
Published 1990
sw
Pages 149
Kitabu hiki "Msingi wa Imani" kilichapishwa 1981 kwa jina "Namjua yeye nimwaminaye." Ni mafundisho mafupi juu ya imani yetu ya Kikristo. Kimetafsiriwa katika lugha kadhaa, na kimetumiwa katika vyuo vya theologia na katika shule za Biblia. Chafaa sana kwa wote wanaohubiri na wanaofundisha Neno la Mungu, na pia kwa kila Mkristo aliye na hamu ya kujengwa na kuimarishwa katika imani yake.
...
Carl Fr. Wisloff, Teol. D., alikuwa profesa wa Historia ya Kanisa katika chuo kitachoitwa The Free Faculty of Theology, Oslo, Norway, kwa miaka mingi. This book came to Elimu Yetu from the Estate of James Sharp. Thank you.
...
Thank you to Scripture Mission, Nairobi
1 copy
Available for free in Arusha! Request
Donated by
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.