Kitabu hiki "Msingi wa Imani" kilichapishwa 1981 kwa jina "Namjua yeye nimwaminaye." Ni mafundisho mafupi juu ya imani yetu ya Kikristo. Kimetafsiriwa katika lugha kadhaa, na kimetumiwa katika vyuo vya theologia na katika shule za Biblia.
Chafaa sana kwa wote wanaohubiri na wanaofundisha Neno la Mungu, na pia kwa kila Mkristo aliye na hamu ya kujengwa na kuimarishwa katika imani yake.
...
Carl Fr. Wisloff, Teol. D., alikuwa profesa wa Historia ya Kanisa katika chuo kitachoitwa The Free Faculty of Theology, Oslo, Norway, kwa miaka mingi.
This book came to Elimu Yetu from the Estate of James Sharp. Thank you.