Ufundi Viatu
Vitabu Vya Ufundi 9: Daraja la III
Published Year: 1977
Language: sw
Details: Mwandishi, Ndugu Ndumbaro, anafundisha Ufundi Vitau katika Chuo cha Taifa cha Mafunzo na Majaribio ya Ufundi, Chang'ombe, Dar es Salaam. Kitabu hiki kimtayarishwa mahusi kwa wanafunzi wa Daraja la III katika somo la ufundi viatu, pia kitawafaa wale wote wanaotaka kujifunza ujuzi huu.
Summary: Kitabu hiki kinaeleza namna ya kutengeneza viatu; kuanzia upimaji na uchoraji vielelezo, ukataji wa ngozi na soli mpaka ushonaji wenyewe. Vyombo na vifaa vyote muhimu katika kazi ya ushonaji viatu vinatajwa na kuonyeshwa kwa michoro.