Msichana Mjinga
Kimeandikwa na Brother Elihuruma Maruma
Mchapishaji Climax Solutions Arusha
Mwaka 2020
sw
Kurasa 97
Pakua 0.9 MB
Maisha yangu hapo nyuma hayakuwa mazuri, maana yalikosa ushuhuda na hayakuwa na uhalisia wa MUNGU ndani yake. Ni kwa sababu nilifanya mambo mengi ya kijinga, na yote hayo yalitokea sio kwa kupenda ila ni kwa sababu nilikuwa na ujinga mwingi. Yaani sikuwa nafahamu vitu vingi vya muhimu, na nilikosa mafundisho mengi sahihi kuhusu maisha. Nilikuwa msichana mjinga kwa sababu nilifanya mambo mengi nisiyo na uelewa nayo, na mengi pia sikufahamu madhara yake, na hayo yote yalinipelekea kufanya uovu mwingi ulioniumiza sana.
...
Kitabu hiki kinasambazwa na Elimu Yetu bila malipo kwa idhini ya mwandishi, Bro. Elihuruma Maruma. Tunamshukuru sana.
...
Shukrani kwa Brother Elihuruma Maruma
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.