Jina langu ni Juma Simon kutoka Kenya Bungoma nina umri wa miaka 23. Nilikamilisha masomo yangu ya kidato cha nne. Mimi hupenda kusoma hadithi kuimba pamoja na kucheza kinanda. Mola awabariki.
Naitwa Erick Lema, natokea Arusha,kijenge. Nasoma Elimu yetu masomo ya computer mapishi biashara mziki maigizo na English course. Napenda huduma ya maktaba na ushirikiano wa mkutubi wetu katika kuhamasisha kusoma vitabu. Asante Sanaa kwa tovuti hii Bora ya kujisomea vitabu popote pale.