Lazime uingie akaunti ili kubadilisha wasifu wako au kuona wasifu wa wengine

Umeshafungua akaunti? Ingia

Ingia
Umesahau nenosiri lako?
Sijapata barua pepe ya kuthibitisha

Fungua akaunti mpya

my name is Jimmy studying at Elimu Yetu, studies like computer,tourism and French language
Makundi Watu wazima Chuo
sw
Naitwa James Ngoinyeye nasoma Elimu Yetu masomo ya kompyuta, umeme, ujasiriamali na uchoraji pia ninakipaji ya uchoraji, na kucheza mpira pia napenda kusoma vitabu karibuni Elimu yetu tupate kusoma kwa pamoja na mkutubi wetu ambae ni mshauri mzuri anaehamasisha katika umuhumi na utamaduni wa kusoma vitabu mara kwa mara
sw
Naitwa Loveness Abraham Nasoma Elimu Yetu Nasomea Computer, English na Ususi, napenda Kusoma Vitabu, Kucheza na Watoto, kufanya Mazoezi ya Mwili, Kusaidia Watu. Ninapenda Kusoma Vitabu Katika Maktaba ya Elimu Yetu KARIBUNI SANA KATIKA MAKTABA YA ELIMU YETU TUSOME PAMOJA 🙏
Am HillaryMosses am studying at Elimu yetu and am taking computer subject and food production and my talent is playing football and I love playing with children.and my hobby is ridding bicycle and eating and reading novels at the library at ELimu yetu.your mosted welcome at Elimu yetu together we can!
Makundi Chuo
From kigoma
Makundi Sekondari
sw
Hello my name is zakaria am from Dar es salaam am in std four at gongolamboto jeshini primary school. I real love studying so as to reach my goals in life.
Hello. My name is Mugambi Gloire, I am a Congolese bu I currently live in Uganda. I am an English trainer I have three years of experience in English teaching. I am hardworking, enthusiastic and motivated. I like reading.
Amani ya bwana iwe nanyi.
My name is Paul sizya, I am from morogoro, Tanzania. Iam joining this community in order to access reading various books
sw
Naitwa sixfrid mbawala ni mdau wa elimu
I'm a student at lumumba secondary School Zanzibar.
sw
Jina langu Christine Ninapenda kujifunza kiswahili.
Makundi Familia
sw
Sam
Makundi Watoto
sw
My name is Laban Charles aged 29 years Male
Makundi Watoto
sw
Samwel nguka
sw
Butamania kwelukilwa
Makundi Watoto
sw
Mimi ni mwalimu naomba kuwa napata makala ya kufundishia
Mwalimu EDGARY FAUSTIN KIOWI