Naitwa James Ngoinyeye nasoma Elimu
Yetu masomo ya kompyuta, umeme, ujasiriamali na uchoraji pia ninakipaji ya uchoraji, na kucheza mpira pia napenda kusoma vitabu karibuni Elimu yetu tupate kusoma kwa pamoja na mkutubi wetu ambae ni mshauri mzuri anaehamasisha katika umuhumi na utamaduni wa kusoma vitabu mara kwa mara
Naitwa Loveness Abraham
Nasoma Elimu Yetu Nasomea Computer, English na Ususi, napenda Kusoma Vitabu, Kucheza na Watoto, kufanya Mazoezi ya Mwili, Kusaidia Watu.
Ninapenda Kusoma Vitabu Katika Maktaba ya Elimu Yetu KARIBUNI SANA KATIKA MAKTABA YA ELIMU YETU TUSOME PAMOJA 🙏
Am HillaryMosses am studying at Elimu yetu and am taking computer subject and food production and my talent is playing football and I love playing with children.and my hobby is ridding bicycle and eating and reading novels at the library at ELimu yetu.your mosted welcome at Elimu yetu together we can!