You are now browsing in Swahili. Switch to English
In Swahili: "Sasa unavinjari kwa Kiswahili. Rudi kwa Kiingereza"
Lazime uingie akaunti ili kubadilisha wasifu wako au kuona wasifu wa wengine

Umeshafungua akaunti? Ingia

Ingia
Umesahau nenosiri lako?
Sijapata barua pepe ya kuthibitisha

Fungua akaunti mpya

Habari!!!! Naitwa Janet Gerad ni mwalimu ni mwalimu wa Elimu yetu Elimu Yetu ni shirika bora linalotoa elimu kwa marika yote bila ubaguzi. Elimu yetu inatoa ujuzi, maarifa, kuibua vipaji na kuviendeleza mfano ~ elimu ya awali, elimu baada ya shule, fani, kompyuta, lugha ya kingereza na kifaransa, elimu ya uongozi na ufahamu kwa vijana, elimu ya malezi na huduma ya maktaba kwa umma. Pia tuna maktaba mtandaoni inayosaidia kujisomea na kusikiliza vitabu mbalimbali popote pale ulipo kwa kutumia simu yako, laptop na tablets. Shukrani kwa Elimu yetu zaidi kwa maktaba na mkutubi anayetuhamasisha kusoma vitabu na kutuhimiza umuhimu wa kulisha akili zetu kwa kusoma vitabu.
Ingia au Jiunge ili kuona zaidi juu yake