Mimi ni mwalimu wa shule za awali hivyo napenda kujifunza vitabu vinavyohusu watoto na kujua muongozo jinsi yakuwafundisha mtaala mpya