Mimi ni mwalimu wa Kiswahili shule ya upili . Nataka vitabu vya kiswahili vya kusoma na kufundisha wanafunzi fasihi simulizi na andishi , isimujamii pia sarufi na matumizi ya lugha.