Mimi ni mwalimu wa shuleni za awali na msingi napenda kusoma vitabu vyenye mahiri mbali Bali ili kuweza kuongeza uwezo wa kufundisha na kuwashirikisha wanafunzi wangu maarifa na ujuzi sahihi katika ngazi zao za masomo