Kwa majina naitwa Abishai sheltiel rwezahula nipo mkoani GeitA nipo katika kampuni la ulinzi sga ggml nipo kwenye position ya team leader lakini nahitaji kujifunza zaidi Nini maaana ya kiongozi ingawa natambua kwa uchache.