You need to login to view profiles OR to update your profile

Have an account? Login

Log in
Forgot your password?
Didn't receive your confirmation email?

Create a new account

Naitwa Amelina Frank ni mwanafunz wa Elimu yetu nasomea komputa, kingereza, pia ninayo fani ya uigizaji, ususi.Nafurahia kuwepo Elimu yetu Kwasababu imenisaidia Mimi kujua elimu mbalimbali ambazo nlivyokuwa nyumbani sikupata Kwan wamenipa elimu bure hivo Sina budi kuzingatia masomo yangu vyema. Nachukua nafasi hii kushukuru maktaba ya Elimu yetu na mkutubi wa maktaba ya shule ya Elimu yetu Kwa kutuhamsisha na kutuongaishia maktaba mtandaoni ambayo imeturahisishia kusoma vitabu kwa urahisi sana popote pale nilipo muda wowote kwa kweli Eimu yetu ni sehemu nzuri sana kwa ajili ya kuongeza maarifa mbalimbali na ujasiri katika maisha ya kila siku. Naipenda Sana Elimu yetu nashukuru Sana.