You need to login to view profiles OR to update your profile

Have an account? Login

Log in
Forgot your password?
Didn't receive your confirmation email?

Create a new account

Naitwa Nuruan Raphael natokea sanawari nasoma Elimu yetu college nasomea computer, English cose, French course na vipaji Kama dance, acting, hairdressing navingine kwakweli elimu yetu ni college nzuri sana najivunia pia Kwa huduma ya maktaba ya Elimu yetu napenda kusoma vitabu na tunashukuru kwa maktaba mtandaoni ambayo inatusaidia kujisomea popote pale na mkutubi ambae anahamasisha sana kusoma vitabu Kwa faida yetu katika maisha. Na ahidi kushirikiana na wenzangu kusoma vitabu mbalimbali mtandaoni kisasa zaidi. Asante sana.