Nina umri wa miaka 32,ni mtanzania, napenda kusoma vitabu. Mimi ni mwanaume mcheshi na mpole, ninawapenda watu wote