Naitwa Irene nasoma Elimu yetu masomo ya computer, mapishi, ujasiriamali. Napenda kuimba na kusoma vitab katika maktaba ya Elimu yetu. Karibuni sana Ilishe akili yako.