View this book in English Citizenship Rights in Kenya
Sign up for news and free books by email!
Haki za Uraia Nchini Kenya
Published 2018
sw
Pages 13
Download 4.0 MB
Kipengele cha 15 katika azimio la ulimwengu juu ya haki za binadamu kinasema kuwa: Kila mtu anahaki ya kuwa raia na kuwa hakuna atakayenyimwa uraia kiholela au kunyimwa haki ya kubadilisha uraia wake. Jinfunze:
  • Ni mambo yapi ninayostahiki kama raia wa Kenya?
  • Ni nani ambaye ni raia au anaweza kuwa raia wa Kenya?
  • Serekali inaweza kuninyima stakabadhi za kujitambulisha?
  • Ni kwanini mtoto wangu anahitajia cheti cha kuzaliwa?
  • Ni kwanini nahitajia kitambulisho?
  • Ninawezaje kupata paspoti?
  • Kwa nini nahitaji cheti cha kifo?
  • na zaidi!
...
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.