Sign up for news and free books by email!
Available for free in Arusha! Request
Mshamba Fani Hivi
2020
Pages 176
1 copy
Riwaya ya Vijana
Written by Brother Elihuruma Maruma
sw
Visa na mikasa ya Mapenzi, Usaliti, Utekaji, Siasa na Imani. ilisikika kwa mbali sauti nzuri za ndege pamoja na majogoo machache yakiwika japo kwa uchovu kwa sababu ya baridi na upepo mkali wa kiangazi. Giza nalo lilikuwa bado totoro na hapakuwa na mwanga wa aina yeyote nje. Hivi ilikuwa ni mishale ya saa kumi usiku kuelekea saa kumi na moja. Katika hali hiyo ilisikika pia sauti ya mguno na mahangaiko ya mwanamke mmoja aliyekuwa katika nyumba ndogo ya udongo yenye vyumba viwili iliyoezekwa kwa nyasi. Mwanamke huyu makamo mwenye umri wa miaka 44 aliyejulikana kwa jina la Wankembeta alikuwa mjamzito, na ukulele huu ulikuwa ni wa uchungu wa kujifungua. Mama huyu mjane alifiwa na mumewe miezi nane iliyopita alikuwa amejilaza kwenye kitanda chake cha Kamba pamoja na mdogo wake aliyeitwa Lumba....
...
Kitabu hiki kinasambazwa na Maktaba.org bila malipo kwa idhini ya Mwandishi Bro. Elihuruma Maruma. Tunamshukuru sana.
...
Thank you to Brother Elihuruma Maruma
Donated by
Not part of any reading lists yet
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Or check out these books being discussed
Books being discussed
Related books: Browse all