Jiandikishe upate habari na vitabu bure!
Mwongozo wa Ufugaji Bora wa Samaki
Mchapishaji Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo
Mwaka 2020
sw
Kurasa 80
Mwongozo huu wa Kilimo cha Uyoga kukabiliana na mabadiliko hali ya hewa na tabianchi ni moja ya matokeo ya utafiti wa Mradi kwa kushirikiana na jamii zinazoishi kuzunguka Msitu wa Hifadhi wa New Dabaga-Ulongambi, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa katika kutafuta mojawapo ya Mazao si Timbao ambayo ni muhimu katika jitihada za awali za kukabiliana na athari za Mabadiliko hali ya hewa na tabianchi. Utafiti wa Mradi umekwisha bainisha na jamii kukubali kuwa kuna mabadiliko hali ya hewa na tabianchi katika eneo hilo ambayo yanaleta athari na tishio kwa jamii hizo na Mazao si Timbao. Katika utafiti wa Mradi, zao la Uyoga unaokusanywa toka msituni lilipewa kipaumbele kama kati ya Mazao si Timbao manne yaliyo katika kipaurnbele katika mikakati ya kukabiliana na athari za mabadiliko hali ya hewa na tabianchi. Hata hivyo, katika maeneo ya Msitu wa Hifadhi wa New DabagaUlongambi, Uyoga unaonekana kuanza kuadimika kutokana na athari za mabadiliko hayo ambayo yamebadili msimu wa upatikanaji na hata kupunguza kiasi cha uyonga ambao ungeweza kukusanywa na kutumiwa kikamilifu na jamii husika.
...
Authors: Munubi, R. N; Lamtane, H. A; Mwandya, A. W; Madalla, N. A; Chenyambuga, S. W
...
Shukrani kwa Mkulima
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.