Agano la Kale - Habari Njema
sw
Pakua 4.7 MB
Neno Mwanzo linatokana na neno la Kiyunani genesis ambalo maana yake ni asili, chimbuko au chanzo,ambalo ndilo jina lililopewa kitabu hiki na watafsiri wa Agano la Kale la Kiyunani lijulikanalo kamaSeptuagint.katika karne ya tatu kabla ya Kristo. Ingawa kitabu hiki cha Mwanzo kinaanza kuelezea uumbaji wavitu vyote, mtazamo mkubwa ni uumbaji wa mwanadamu. Kitabu hiki kinaeleza mwanzo wa ulimwengu, mwanzowa mwanadamu, yaani, mwanamke na mwanamume, mwanzo wa dhambi ya mwanadamu, mwanzo wa ahadi namipango ya Mungu ya wokovu na uhusiano wa kipekee kati ya Abrahamu na Mungu. Kitabu kinaelezea juu yawatu mahsusi wa Mungu na mipango Yake katika maisha yao. Baadhi ya watu hawa ni Adamu naEva,wanadamu wa kwanza kabisa kuumbwa, Noa, Abrahamu, Isaki, Yakobo, Yosefu na ndugu zake na wenginewengi.
...
Shukrani kwa SomaBiblia.com
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.