Kitabu hiki ni mkusanyiko wa vijitabu na rasilimali za elimu kwa wakulima wa muhogo na viazi. Sehemu ya kwanza ni mwongozo wa uzalishaji wa muhogo. Sehemu ya pili inahusiana mbegu bora za muhogo. Sehemu ya tatu utajifunza jinsi ya kutambua kukinga na kutiba wadudu na magonjwa ya muhogo na viazi.