Kilimo Bora cha Vitunguu Maji na Vitunguu Swaumu
Farming onions and garlic
Written by Mtalula Mohamed
Publisher Mkulima
Published 2016
sw
Kilimo cha vitunguu maji ni muhimu sana hapa Tanzania. Vitunguu vinaweza kutumika kama zao la chakula au la biashara kwa aina zote za wakulima, wakubwa na wadogo. Zao la vitunguu linazalishwa kutokana na mbegu, na miche inakuzwa kwenye kitalu kabla ya kupandikizwa shambani. Miche inakuwa na ‘kuzaa’ vitunguu. Vitunguu vikikomaa, vinavunwa na kuuzwa au kuhifadhiwa ghalani. Vitunguu swaumu ni zao ambalo lipo katika jamii ya vitunguu na hufanana sana na vitunguu maji, zao hili linatumika sana duniani kama kiungo cha chakula na wengine hutumia kama dawa.
...
Thank you to Mkulima
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.