Safari ya Anga za Juu
1997
pages 36
Written by Anthony Mwangi
Publisher: Sasa Sema Publ. sw
Wakiwa katika safari ya uvumbuzi kwenye Mlima Kenye, Wanasayansi watatu Wakenya wanakumbana na jiwe la ajabu. Uchunguzi wao unawapeleka mpaka katika anga za juu, safari hatari na ya kutia mashaka lakini inayosisimua pia. Kitabu hiki cha rangi cha vibonzo, kina mvuto wa kutia hamu kuu kwa wao watakaokisoma. Kitawasaidia pia wanafunzi kujifunza mengi juu ya anga za juu na kuchochea tamaa ya kujiendeleza katika masomo ya sayansi.
...
ISBN: 9966960929
Download free pdfs
Free books by category