Sign up for news and free books by email!
Safari ya Mzimuni
1998
Pages 30
Written by Charles Mateso
Publisher: Readit Books
Safari ya Mzimuni ni hadithi ya kusisimua ya watoto wawili. Sara na Chidi ni watoto wanaokwenda kuomba radhi Mzimuni ili nchi yao isiteketezwe. Ili kujua kwa nini nchi yao inataka kuteketezwa na matatizo na mikasa waliokumbaba nayo, soma hadithi hii.
...
ISBN: 9987210198
Download free pdfs