You are now browsing in Swahili. Switch to English
In Swahili: "Sasa unavinjari kwa Kiswahili. Rudi kwa Kiingereza"
Lazime uingie akaunti ili kubadilisha wasifu wako au kuona wasifu wa wengine

Umeshafungua akaunti? Ingia

Ingia
Umesahau nenosiri lako?
Sijapata barua pepe ya kuthibitisha

Fungua akaunti mpya

Jiandikishe upate habari na vitabu bure!
Ndoto ya Amerika
Kimeandikwa na Ken Walibora
Mchapishaji Sasa Sema Publications
Mwaka 2001
sw
Kurasa 48
"Kwani wewe hujawahi kuota ndoto ya Amerika?" "Bado" nikamwambia Madoa. Alishangaa. Akaniambia ikiwa sijaota ndoto ya Amerika basi lazima nina kasoro fulani... Ndoto ya America ni kitabu usichoweza kukiweka chini hadi umeisoma hadithi nzima. Bila shaka kitawasisimua wasomaji wenye umri mdogo na mkubwa pia kwa jinsi kilivyotungwa kwa ufundi mkubwa. Ken Walibora ni mtangazaji wa runinga na redio katika Kampuni ya Utangazaji ya Nation. Riwaya ya Siku Njema ni mojawapo kazi zake maarufu zilizochapishwa.
...
ISBN: 9966951105
Shukrani kwa Sasa Sema Publications
Create an account to...
View comments and discuss this book!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all