Manywele
Faster downloadPublished Year: 1998

Language: sw
Summary: Hadithi hii ilioandikwa katika mtindo wa hekaya, inasimulia kinaguabaga maovu ya uhasama wa ukabila. Kitabu hiki, chenya kuchangamsha na vibonzo maridadi, kinamchukua msomaji hadi mkoa magharibi wa Kenya. Msomaji hachelewi kupata ujumbe uliomo.