Publisher Sasa Sema Publications
Hadithi hii ilioandikwa katika mtindo wa hekaya, inasimulia kinaguabaga maovu ya uhasama wa ukabila. Kitabu hiki, chenya kuchangamsha na vibonzo maridadi, kinamchukua msomaji hadi mkoa magharibi wa Kenya. Msomaji hachelewi kupata ujumbe uliomo.
...