You are now browsing in Swahili. Switch to English
In Swahili: "Sasa unavinjari kwa Kiswahili. Rudi kwa Kiingereza"
Lazime uingie akaunti ili kubadilisha wasifu wako au kuona wasifu wa wengine

Umeshafungua akaunti? Ingia

Ingia
Umesahau nenosiri lako?
Sijapata barua pepe ya kuthibitisha

Fungua akaunti mpya

Jiandikishe upate habari na vitabu bure!
Hadithi za Esopo: Kitabu cha Pili
Kimeandikwa na B. S. Mang'anda
Mchapishaji Sasa Sema Publications
Mwaka 1996
sw
Swahili version of Aesop's fables. Esopo alikuwa mtumwa kutoka Afrika aliyeishi katika nchi ya Uyunani, yaani Ugiriki ya sasa. Inasadikiwa kuwa Esopo alitoka nchi ya Ethiopia. Hadithi za Esopo ni ngano za kali zenye hekima nyingi; zimeandikiwa zaidi ya miaka elfu mbili iliyopita hadithi hizi zemetafsiriwa upya kulingana na hali ya sasa.
...
Kimetafsiriwa na
B. S. Mang'anda
ISBN: 996696097X
Shukrani kwa Sasa Sema Publications
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all