Abunuwasi

Faster download

Published Year: 1998

Book Thumbnail

Language: sw

Summary: Kuhusu Mchoraji: Godfrey "Gado" Mwampembwa Godfrey Mwampembwa, GADO, toke Tanzania amekuwa mchoraji wa Magazeti ya Nation/Taifa toka mwaka 1992. Alianza kuchapisha michoro yake katika gazeti la Daily News (Tanzania) 1984. Pis amekuwa akichorea Gazeti la New African linalotolewa kila mwezi London (UK). Vilevile michoro yake imewahi kuchapishwa sehemu nyinge mbalimbali kama Ubelgiji, Marekani na Afrika kusini.