Esta
Na habari nyingine za wanawake wa Biblia REBEKA na RUTHU
Faster downloadPublished Year: 1969

Language: sw
Details: Picha zimechorwa na Patricia McIntosh
Summary: Zamani kulikuwa na msichana wa Kiyahudi. Alikuwa mzuri sana, jina lake Esta. Esta hakuwaona wazazi wake kwa sababu wao walikufa wakati yeye alikuwa angali mdogo. Lakini alikaa na binamu yake aliyeitwa Mordek