You are now browsing in Swahili. Switch to English
In Swahili: "Sasa unavinjari kwa Kiswahili. Rudi kwa Kiingereza"
Lazime uingie akaunti ili kubadilisha wasifu wako au kuona wasifu wa wengine

Umeshafungua akaunti? Ingia

Ingia
Umesahau nenosiri lako?
Sijapata barua pepe ya kuthibitisha

Fungua akaunti mpya

Jiandikishe upate habari na vitabu bure!
Vurugu ya Kijinsia na VVU
Mpango Mwongozi wa Kuunganisha Uzuizi wa Vurugu ya Kijinsia na Majibu katika Mipango ya PEPFAR
Kimeandikwa na PEPFAR
Mchapishaji USAID
Mwaka 2012
sw
Pakua 0.9 MB
Kuna ushahidi mkubwa kuwa vurugu ya kijinsia (GBV) ni chanzo na pia matokeo ya maambukizi ya VVU, lakini programu na huduma zilizoundwa kushughulikia maradhi yanayoenea zimegawanyika vipande vipande kwa kiasi kikubwa. Huu mwongozi unatoa hatua ya kuanza kwa Mpango wa dharura wa Rais wa Marekani wa Kutuliza UKIMWI (PEPFAR) kwa kuunganisha majibu ya msingi ya GBV ndani ya programu za VVU zilizopo na kuanzisha uhusiano wa juhudi mbali mbali zinazo shughulikia GBV.
...
Uchapishaji huu ulitolewa na usaidizi kutoka Mpango wa dharura wa Rais wa Marekani wa Kutuliza UKIMWI (PEPFAR) unaofadhiliwa na Wakala ya Marekani ya Maendeleo ya Kimataifa (USAID)
...
Shukrani kwa USAID
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all